Sunday, January 22, 2012

SONGEA LEO

SAA KUMI KAMILI JIONI MPAKA SAA KUMI NA MBILI JIONI STORY ZA SONGEA MAMBO YA SONGEA NA UJAZO WA KUTOSHA JUU UTAMADUNI WA SONGEA-EMNUEL MICHAEL

XXP SHOW YA KIJANJA

DJ FROLI NA TSABELA WATAKUPA MIXN ZA UKWELI KUANZIA SAA SABA MCHANA MPAKA SAA KUMI JIONI INTERVIEW ZA KIJANJA ZA KIJANJA TOP UJAZO.

PURUKUSHANI

SIKILIZA PURUKUSHANI KUANZIA SAA 9:00AM MPAKA 12:00AM KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA IJUMAA NA JAQLINE MKOMANGI MSUMARI UNAO CHOMA KOTEKOTE

MORNING EXPRESS

MAMBO UKIAMKA JUMATATU MPAKA IJUMAA SIKILIZA MORNING EXPRESS YA JOGOO FM KUANZIA SAA 6:00AM TO 9:00AM  FRANCIS SENGO,ENECY MWAISAKILA NA MTEMBEZI TOP UJAZO

Saturday, January 21, 2012

MABO VIPI GUYS KARIBUNI SANA HII NI BROG YA JOGOO FM KWA UFUPI TU NI KWAMBA  HUMU TUNACHEKI MPANGO MZIMA WA JOGOO FM RADIO TOKA SONGEA RUVUMA TANZANIA